Jamani, hii pic si ilionekana janvini mdamrefu ati imetoka kanisani kwa rwakatare?!: hii si ngeni hata kidogo.
Jamani, hii pic si ilionekana janvini mdamrefu ati imetoka kanisani kwa rwakatare?!: hii si ngeni hata kidogo.
Halafu tunajidai tunataka maendeleo,maendeleo yatatoka wapi na wachawi wamejaa kila kona mpaka leo hii karne ya 21????
http://api.ning.com/files/cwsKfs-l*...ACM0Exsq5U3rb/mchawi.gif?width=400&height=320
Taarifa zaidi zinadai vijana hao waliopata fahamu walisema kuwa, wakiwa porini walikuwa wakiishi kwa kula unga wa mtama, nyama na damu za watu iliyokuwa ikipatikana kutokana na ajali ambazo wachawi hao walikuwa wakizisababisha.
Mchawa akamatwa live!! - Zanzibarwebsite
..Hapana..!!! Sio wachawi wanaorudisha nyuma maendeleo. Ni JK na CCM..!! :brushteeth:
Picha iko wapi?Hil ni eneo la picha na habar
msukule feki wa lwakatare....