Mchango wa baba katika kujenga upendo wa binti

Hapo Mzee baba ndio mambo yote, hata interests zao hao mabiniti ukiangalia pakubwa ni kwamba they tend to favour they dad more than you. Kile kinachomfurahisha mzee wao ndio priority and they also enjoy being around him.
 
Hapo Mzee baba ndio mambo yote, hata interests zao hao mabiniti ukiangalia pakubwa ni kwamba they tend to favour they dad more than you. Kile kinachomfurahisha mzee wao ndio priority and they also enjoy being around him.
Hata MUME atachagua anayefafana na babake!
 
I dont really think baba anaweza kuwa mzuri kwa watoto akiwa hata mke hawezi kumjali. That sounds too selfish, personally labda mama awe na matatizo yake kwenye ndoa ila kama anaishi na mume wake freshi with due respect basi ni ngumu sana kutengwa na mume.
 
Ahahhahahaahaha Kweli bana, maendeldo hayana chama Mkwe!

Binti yangu mtata Kama mamake lakin!
Ujipange!
Usijali mkwe, kuna vitu atapata yeye mwenyewe atatulia tu.

Maendeleo hayana chama
 
My frendo!

Wapo good fathers but bad husbae!

Wapo aseeh!
 
Unaongea as if unaishi sayari ya mars, inamaana hauyaoni ktk dunia hii hii tunayoishi? Humu tu huwa mnajitapa, "mwanaume jali wanao,mwanamke sio ndugu yako". Then unalishangaa hilo!!
Na kwa kuonyesha uselfish umetafuta kila namna ili lawama bado irudi kwa mwanamke.
When yo woman is happy then una familia bora.
Unapotafuta mwanamke aliyelelewa ktk familia bora basi hakikisha nawe umelelewa ktk familia bora, lasivyo hautaweza kuuona huo ubora wake maana kwako familia bora ina definition ya familia uliyokulia.
 
Hahahah
 
Ulichoongea ni ukweli mtupu
 
Kuna vitu vikikuzidi umri subiri ukue then utavielewa tu.
Hahaha we unawaonea wivu binti zako sasa 😅😅😅!!!

Unanikimbusha kipindi sista wangu anakuwa binti kigoli mzee alikuwa anapenda kumuita my dear! Sasa maza wa kambo akawa anamaindi mzee kwanini amuite dadaangu my dear wakati yeye hajawahi kuitwa hivyo akajenga nae bifu basi kila siku mzee anasolve ugomvi 🤣🤣🤣 na dadaang alikuwa chizi kweli yan super confident! Yani haonewagi yeye anakuchamba ukimzingua
 
Kivipi mkuu ?
Sasa kama mama analeta upuuzi baba sindio inabidi amnyooshe mzee! Sababu akimlegezea ataharibu na psychology ya watoto watamchukulia kama mume ni kiumbe weak cha kuchezea chezea
 

A lot of men are sick!!!wanaume wengi wanaumwa hawako sawa vichwani mwao sitaki kusema sana
Ila hongereni wanawake ambao mmegundua haya na mmeamua kujisimamia wenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…