Mchango wa baba katika kujenga upendo wa binti

Huyo wa 19 tayari ameshatoka kwenye mikono ya serikali, kwa heshima na taadhima naomba nikuite mkwe,

Maendeleo hayana chama
 
Taabu inaanzia kwa baba, je yeye alikulia familia ya aina gani? Je pamoja na kumtreat binti yake vizuri anamteeat vipi mama wa huyo binti? Maana anaweza kujifanya kuwa baba mzuri ila akawa mume wa hovyo kabisa. So that treatment shud go both ways.

Lakini pia anaweza akawa amelelewa ktk familia iliyo vizuri tu ila akaja kuvurugwa na wanaume waliokulia familia za kishenzi. Hivyo malezi haya yanapaswa yawe bora kwa watoto wote ktk familia.
 
Bonge la point mkuu.
 
Baba ndio ana power ya ku neutralize zaidi hapo. Ila on the other side watoto wa kiume watakuwa mabwege katika hio familia yani kuna namna watakuja tawaliwa na wake zao.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] wewe mbinafsi sana, eti anaweza kuwapenda binti zake, ila anamtreat vby mke. mbn unajitetea mapema.

utatritiwa vizr naww basi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very true.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
On point...
 
Huyo wa 19 tayari ameshatoka kwenye mikono ya serikali, kwa heshima na taadhima naomba nikuite mkwe,

Maendeleo hayana chama
Ahahhahahaahaha Kweli bana, maendeldo hayana chama Mkwe!

Binti yangu mtata Kama mamake lakin!
Ujipange!
 
True!
 
kitu watu hatukidhanii ni kuwa, WATOTO WA KIKE ROLE MODEL WAO NI BABA ZAO!
This one i agree. Na mtoto wa kiume kiasi kikubwa anaathiriwa na character za mama yake kuliko za baba yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…