Mchango bora bunge la katiba.

Mchango bora bunge la katiba.

Nnko

Member
Joined
Aug 26, 2009
Posts
97
Reaction score
20
katika wabunge wote wa bunge maalum naona mchango wa Dr. Bernadetha Kiliani ni mchango bora zaidi. umejengeka katika misingi ya busara na ukweli. NAKUPONGEZA MAMA. Au unasemaje mdau
 
Ni kweli kwa leo ndiyo Mjumbe aliyetoa hoja bora kuliko wengine.
 
Unajitoa Ufahamu Ujamsikia mhe Sugu moto Chini
Huitaji damu lita 5 kujua mwili wako Una maleria au Ngoma
 
Ni Dr Sugu na Dr Kiliani very objective, huyu Benadetha anaweza kuwa mke mwema
 
katika wabunge wote wa bunge maalum naona mchango wa Dr. Bernadetha Kiliani ni mchango bora zaidi. umejengeka katika misingi ya busara na ukweli. NAKUPONGEZA MAMA. Au unasemaje mdau
Kwani bunge ndiyo limeisha leo au .acha bange za mchana veve
 
katika wabunge wote wa bunge maalum naona mchango wa Dr. Bernadetha Kiliani ni mchango bora zaidi. umejengeka katika misingi ya busara na ukweli. NAKUPONGEZA MAMA. Au unasemaje mdau

Kweli kabisa mdau. Amejipambanua tofauti na watu wengi walioko humo. Ameonesha kuwa Ni msomi kabisa. Hata binti yangu wa darasa la sita amemkubali.
 
Ushauri na mapendekezo ya huyu mama ndio tutatoka Dodoma salama, suala la muundo wa serikali walilete kwetu tupige kura kuamua nasio ccm watuamulie wao. Big up mama
 
Ni kweli hatujachelewa muda isiwe tatizo kwani tunaweza
kuwahi lakini tukakwama mbele ya safari.

Kama tulikosea mwanzoni hatuna budi kujishahihisha
kuliko kuendeleza makosa yale yale yatakayoleta
hasara za kiusalama hasa upande wa Zanzibar.

Ni bora mchakato huu ukasitishwa na kurudiwa upya
na hii iwe ni baada ya uchaguzi mkuu wa 2015 kwani
misikumo ya kikampeni haitakuwepo na kizuri zaidi tutapata
viongozi wapya wenye mtazamo chanya juu ya Taifa lao.

Hongera Mama Bernadeta Kiliani you are a Great Thinker.
 
Back
Top Bottom