S smh Senior Member Joined Mar 20, 2018 Posts 133 Reaction score 106 Jan 18, 2019 #1 Ni matumaini hamjambo,naomba kujulishwa kuhusu mchakato wa makadirio tra hadi kuchukua leseni mfano unamtaji wa tsh 2,000,000/= unahitaji kufungua uwakala.mfano mpesa na tigo.pesa ,je hutofautiana makadirio kimkoa . Sent using Jamii Forums mobile app
Ni matumaini hamjambo,naomba kujulishwa kuhusu mchakato wa makadirio tra hadi kuchukua leseni mfano unamtaji wa tsh 2,000,000/= unahitaji kufungua uwakala.mfano mpesa na tigo.pesa ,je hutofautiana makadirio kimkoa . Sent using Jamii Forums mobile app