Mchaga na Mhaya

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Mhaya alitangaza anatibu magonjwa yooooooote kwa tsh. 100000/=
Na kama akishindwa kukutibu angekurudishia laki yako nakukuongeza laki nyingine.
Basi MCHAGA akaona hii fursa yakujipatia hela akaenda kutibiwa.
MHAYA: unaumwa nini?
MCHAGA: Sina taste kabisa..
MHAYA:Naomba kikopo no.27 mpe anywe huyu.
MCHAGA::: Puh puu puu uu si mkojo huu
MHAYA: Umepona karibu tena.

Kesho yake mchaga akarudi tena hakuamini ameliwa pesa yake.
MCHAGA: Nina tatizo la kumbukumbu nasahau sana....
MHAYA: nesi naomba kikopo no.27
MCHAGA: ASA CHALII ANGU HICHO SI CHA JANA ( MKOJO)
MHAYA: UMEPONA KUMBUKUMBU UNAYO.

 

mhaya jawahi kwa mjana kiasi hiki.nway
 
Acha utani wahaya sio wajanja
 
Ruge kwani naye billionaire?maana kila mtu billionaire bongo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…