Huyu jamaa nikikumbuka hotuba yake ya akili kubwa kutawala akili ndogo huwa namheshimu sana, ana akili kubwa sana, tuombe njaa zisiwabadilishe kama kina Kafulila

Picha za video zilikua zinawaoyesha mawaziri wanapepesa macho madini yanawaingia vichwani sema kupiga makofi wakawa hawataki, ila macho yao yanaonyesha wanamuelewa Msigwa
Huyu jamaa kelele zake zoote hajawahi kumtukana Mh. Rais kama mataila mengine ya upinzani, nilikuja kugundua sababu ya adabu hii ni kuwa hawa jamaa ni ndugu hahahaaaa wazazi wazae watoto watuunganishe hakuna adui kwenye undugu.