CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Nawaona katika kipindi cha habari kuu. Nadhani hamjaiva kiuandishi wa habari au mlipitia vyuo hivyo tunavyovifahamu. Discuss issues na si kutoa hukumu kwa watu wanaomkosoa rais na utumbuaji. Nadhani ukuu wa wilaya utatutoa ufahamu wengi wetu! MNAWALAUMU WANAOMKOSOA JPM KUMBUKA JPM NI BINADAMU NA PRINCIPLE NI KUWA ALL MEN ARE FALLIBLE NA MAN IS INFALLIBLE.