Mbwembwe hazifai safarini

yani kutongoza tu mpaka uwe na makorokoro yote hayo?
 
Kizazi hiki kimeishiwa wanaume,wengi wamebakia kanyaboya,yani mtoto kutoa iphone 6+ ndio ukaogopa kumtongoza?

Acha ujinga,usiogope ukubwa wa samaki,uliza bei.

niiishiwa confidence mkuu
 
Wagogo mna matatizo sana.Nini hiki sasa.


another element ya darasa la ttu la mkoloni.....mtu kwenda dom ni mgogo?? lets say mi ni mgogo njoo unipe tope ndo utajua kama nina matatizo au la
 
another element ya darasa la ttu la mkoloni.....mtu kwenda dom ni mgogo?? lets say mi ni mgogo njoo unipe tope ndo utajua kama nina matatizo au la

Kama wewe siyo mgogo dom ulienda kwa basha wako?
 
wazee wa matusi wamepata sehemu ya kutolea stress zao
 
Nimecheka sana, hiyo ni phase tu unaipitia ,ukikua utajua vitu sio chanzo wala ulimbo kupata game,
kikubwa ni boldness na ma confidence.
kisa kimenichekesha sana, hasa pale uliponunu mahindi ya moto mtoto akatoa pringles,sasa Savana na pringles wapi na wapi inamaanisha huyo demu ni limbukeni wa Udom 🙁
 
El Nino, ukiwa mwongo usiwe msahaulifu. Mwanzoni pale umesema safari yako ni kutoka Dom kwenda Dar. Nukta chache zilizofuata unatwambia ulitarajia mkija kufika Dom sound zako zitakuwa zimemnasa mdada. Huoni hiyo ni contradiction mbaya kabisa?

Hizi story za kutunga zisizo na vichwa wala miguu zinatujazia server bure tu.

Tiba
 
Swaga za kizamani sana tena mtoto kama huyu kidume mwenye akili angemchuna huyo demu za kumtosha na kitombo juu yaani ingekuwa 2 in 1!
 

Mkuu jamaa katulisha mikamba na Udomo zenge wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…