yey kasema tuSasa hayo maneno yako yana mchango gani kwa taifa na kwenye timu ya Genk? Au ya faida gani kwa Samatta?
Hauna lolote....Wivu tu na husda vinakusumbua...Mpaka sasa sioni tena umuhinu wa Sammata kwa timu ya FC Genk. Kwa mfano jana Genk walishinda bao tatu bila mchango wa Samatta ndani ya uwanja. Kuna jamaa alikuwa ana assit ile mbaya na kufunga vizuri kiasi kwamba huezi mfananisha na mdogo wetu Samatta.
Mechi ile ingine iliyopita Samatta alikuepo ila mchango wake ulikuwa hafifu ndani ya uwanja na timu kupigwa tatu bila. Pia na hata sasa katika Pro league ya Belgium huyu bro wetu hayupo katika safu ya wafungaji bora.
Kwa maneno haya machache ninaamini bado Samuel Etoo, Didier Drogba, George Wear na Nwako Kanu ndio watabakia kuwa wafungaji bora wa Afrika waliowahi tisha Ulaya.
Bro acha blah blah za TZ, soka linachezwa uwanjani kila mtu anaona. Kwahiyo hujui kama Samatta alikuwa majeruhi.....?hahaaa
watu kama nyie nilijuwa mpo wengiii
Una ugomvi gani na Mbwana?Mpaka sasa sioni tena umuhinu wa Sammata kwa timu ya FC Genk. Kwa mfano jana Genk walishinda bao tatu bila mchango wa Samatta ndani ya uwanja. Kuna jamaa alikuwa ana assit ile mbaya na kufunga vizuri kiasi kwamba huezi mfananisha na mdogo wetu Samatta.
Mechi ile ingine iliyopita Samatta alikuepo ila mchango wake ulikuwa hafifu ndani ya uwanja na timu kupigwa tatu bila. Pia na hata sasa katika Pro league ya Belgium huyu bro wetu hayupo katika safu ya wafungaji bora.
Kwa maneno haya machache ninaamini bado Samuel Etoo, Didier Drogba, George Wear na Nwako Kanu ndio watabakia kuwa wafungaji bora wa Afrika waliowahi tisha Ulaya.
Katika mechi hiyo timu ya Genk ilifungwa 3 kwa 2, sio tatu bilaMpaka sasa sioni tena umuhinu wa Sammata kwa timu ya FC Genk. Kwa mfano jana Genk walishinda bao tatu bila mchango wa Samatta ndani ya uwanja. Kuna jamaa alikuwa ana assit ile mbaya na kufunga vizuri kiasi kwamba huezi mfananisha na mdogo wetu Samatta.
Mechi ile ingine iliyopita Samatta alikuepo ila mchango wake ulikuwa hafifu ndani ya uwanja na timu kupigwa tatu bila. Pia na hata sasa katika Pro league ya Belgium huyu bro wetu hayupo katika safu ya wafungaji bora.
Kwa maneno haya machache ninaamini bado Samuel Etoo, Didier Drogba, George Wear na Nwako Kanu ndio watabakia kuwa wafungaji bora wa Afrika waliowahi tisha Ulaya.
Acha wivu na roho mbaya wewe! Af unajiita ketone, mkemia gani unawasiwasi hivyo!Mpaka sasa sioni tena umuhinu wa Sammata kwa timu ya FC Genk. Kwa mfano jana Genk walishinda bao tatu bila mchango wa Samatta ndani ya uwanja. Kuna jamaa alikuwa ana assit ile mbaya na kufunga vizuri kiasi kwamba huezi mfananisha na mdogo wetu Samatta.
Mechi ile ingine iliyopita Samatta alikuepo ila mchango wake ulikuwa hafifu ndani ya uwanja na timu kupigwa tatu bila. Pia na hata sasa katika Pro league ya Belgium huyu bro wetu hayupo katika safu ya wafungaji bora.
Kwa maneno haya machache ninaamini bado Samuel Etoo, Didier Drogba, George Wear na Nwako Kanu ndio watabakia kuwa wafungaji bora wa Afrika waliowahi tisha Ulaya.
Aiiiii isifunge mie nimeshakuwa ADIKITED na mitandao nitaumia sana😀😀haya mambo ya hv ndio maana muheshimiwa anataka malaika wafunge mitandao for two years..