Wabongo tuache kuikuza Genk na hiyo ligi ya kijinga ya Ubelgij mchezaji bora Afrika hakustahili kwenda kwenye huo uchafu.Ukiingia blog za sport za kibongo siku tu akifunga ndo timu inasikika
Msiseme hajaenda timu sahihi ila Kiwango cha Samatta kinaweza muweka France?? Afanye vzur Belgium kisha ndipo France sasa kama Genk panamchemsha Huko France atapaweza ila la kujipongeza ni kaonyesha njia atakapokuja mwingine atafika huko France