E ericford JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 265 Reaction score 68 May 26, 2015 #1 Star wetu akiwa na gari lake jipya... View attachment 254692
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,872 Reaction score 129,869 May 26, 2015 #2 picha ya lini mkuu? unamuwekea maneno mdomoni? kweli amesema hio ni gari yake 'MPYA'?
Kimbley JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 3,050 Reaction score 2,104 May 26, 2015 #3 duh!hongera yake kijana
C christmas JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,280 May 26, 2015 #4 kama kweli hongera Mbwana tangaza nchi yetu vema
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,968 May 26, 2015 #5 Kama ni lake hongera yake (tena kama lile lenyewe maana bei yake imesimama wima,sio kama yale ya kichina)
Kama ni lake hongera yake (tena kama lile lenyewe maana bei yake imesimama wima,sio kama yale ya kichina)
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,298 Reaction score 38,438 May 26, 2015 #6 Hongera zaka, anastahili.
U UDSM Alumni JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 2,555 Reaction score 1,389 May 26, 2015 #7 Kiwango kinaendeleaje saizi?
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,792 May 26, 2015 #8 RRONDO said: picha ya lini mkuu? unamuwekea maneno mdomoni? kweli amesema hio ni gari yake 'MPYA'? Click to expand... Swali zuri! TRA sa hvi wanasajili platnumber mpya za magari kwa number C? Au mim mshamba
RRONDO said: picha ya lini mkuu? unamuwekea maneno mdomoni? kweli amesema hio ni gari yake 'MPYA'? Click to expand... Swali zuri! TRA sa hvi wanasajili platnumber mpya za magari kwa number C? Au mim mshamba
Cathode Rays JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 1,738 Reaction score 1,495 May 26, 2015 #9 Jambazi said: Swali zuri! TRA sa hvi wanasajili platnumber mpya za magari kwa number C? Au mim mshamba Click to expand... Vipi kama iliingia nchini muda ila kainunua recently? Nawaza tu
Jambazi said: Swali zuri! TRA sa hvi wanasajili platnumber mpya za magari kwa number C? Au mim mshamba Click to expand... Vipi kama iliingia nchini muda ila kainunua recently? Nawaza tu
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,872 Reaction score 129,869 May 26, 2015 #10 Cathode Rays said: Vipi kama iliingia nchini muda ila kainunua recently? Nawaza tu Click to expand... Ingekuwa na namba mpya! D hivi kuna gari zipo show room ukilipia wanakuwekea namba mpya. Kama kanunua kwa mtu sio 'mpya' hata kibongobongo
Cathode Rays said: Vipi kama iliingia nchini muda ila kainunua recently? Nawaza tu Click to expand... Ingekuwa na namba mpya! D hivi kuna gari zipo show room ukilipia wanakuwekea namba mpya. Kama kanunua kwa mtu sio 'mpya' hata kibongobongo
Cathode Rays JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 1,738 Reaction score 1,495 May 26, 2015 #11 RRONDO said: Ingekuwa na namba mpya! D hivi kuna gari zipo show room ukilipia wanakuwekea namba mpya. Kama kanunua kwa mtu sio 'mpya' hata kibongobongo Click to expand... Got it
RRONDO said: Ingekuwa na namba mpya! D hivi kuna gari zipo show room ukilipia wanakuwekea namba mpya. Kama kanunua kwa mtu sio 'mpya' hata kibongobongo Click to expand... Got it
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,932 Reaction score 30,045 May 26, 2015 #12 ericford said: Star wetu akiwa na gari lake jipya... View attachment 254692 Click to expand... Jipya kwake ila kibongo bongo hii ndinga Ina zaidi ya mwaka na nusu!
ericford said: Star wetu akiwa na gari lake jipya... View attachment 254692 Click to expand... Jipya kwake ila kibongo bongo hii ndinga Ina zaidi ya mwaka na nusu!
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,932 Reaction score 30,045 May 26, 2015 #13 Cathode Rays said: Vipi kama iliingia nchini muda ila kainunua recently? Nawaza tu Click to expand... Tuseme leo ukipata demu mwingine kwani huwezi kujisifia kitaa kua Umepata chuma kipya? Lakini si inawezekana huyo demu odometer imeenda sana labda ana zaidi ya miaka 15 toka aanze kuvuliwa pichu? Nami nawaza tu pia
Cathode Rays said: Vipi kama iliingia nchini muda ila kainunua recently? Nawaza tu Click to expand... Tuseme leo ukipata demu mwingine kwani huwezi kujisifia kitaa kua Umepata chuma kipya? Lakini si inawezekana huyo demu odometer imeenda sana labda ana zaidi ya miaka 15 toka aanze kuvuliwa pichu? Nami nawaza tu pia
Cathode Rays JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 1,738 Reaction score 1,495 May 26, 2015 #14 Shark said: Tuseme leo ukipata demu mwingine kwani huwezi kujisifia kitaa kua Umepata chuma kipya? Lakini si inawezekana huyo demu odometer imeenda sana labda ana zaidi ya miaka 15 toka aanze kuvuliwa pichu? Nami nawaza tu pia Click to expand... Hahaaa..... Heshima kwako......
Shark said: Tuseme leo ukipata demu mwingine kwani huwezi kujisifia kitaa kua Umepata chuma kipya? Lakini si inawezekana huyo demu odometer imeenda sana labda ana zaidi ya miaka 15 toka aanze kuvuliwa pichu? Nami nawaza tu pia Click to expand... Hahaaa..... Heshima kwako......
G guasa JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 1,933 Reaction score 665 May 26, 2015 #15 Hongera kijana endelea kuwa na bidii na ujasiri.