Mbwana Samatta achaguliwa katika kikosi bora cha UEFA(Europa League)

isupilo

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
303
1,254
image.jpeg


Mbwana Alli Samatta amechaguliwa katika kikosi bora cha UEFA(Europa League) cha week.
Haya ni mafanikio makubwa kwa kijana Mtanzania kujumuishwa katika kikosi hiki,akiwaacha kando wakali kama Zlatan,Pogba na wengine wenye ubora huo.
====================================

Goalkeeper: Yann Sommer (Mönchengladbach)
The Swiss international pulled off a number of fine saves to repel Schalke and earn Gladbach a draw to take into their home second leg.
Defender: Mallo (Celta)
Celta's captain impressed most going forward with a number of fine deliveries, the last of which resulted in Claudio Beauvue's excellent late winner.

Defender: Uroš Spajić (Anderlecht)
A keystone of the only clean sheet of the night – what more needs to be said?

Defender: Ludwig Augustinsson (København)
Augustinsson was in fine form for FCK, helping the Danes keep a talented Ajax side at bay for much of the 90 minutes.

Midfielder: Alejandro Pozuelo (Genk)
The lively Spaniard repeatedly stabbed holes through the Gent rearguard for team-mates to profit.

Midfielder: Henrikh Mkhitaryan (Manchester United)
Rostov's Armenian community welcomed Mkhitaryan, but the team could not wait to see the back of him after he scored.

Midfielder: Corentin Tolisso (Lyon)
Lyon fans know Tolisso's immense link-up play is at the heart of much of their success, and he was the pass master against Roma.

Midfielder: Ruslan Malinovskiy (Genk)
The Ukrainian claimed perhaps the goal of the night – a glorious free-kick – and worked tirelessly, his corner leading to his side's second.

Forward: Alexandre Lacazette (Lyon)
Lacazette struck with a thunderbolt in his team's 4-2 win and got an assist as well. The best forward outside the UEFA Champions League? Discuss.

Forward: Vincent Aboubakar (Beşiktaş)
A fifth goal in eight European games to turn the tide at Olympiacos; it ended 1-1, but not for want of trying from the Cameroonian.

Forward: Mbwana Samatta (Genk)
The Tanzanian's striker's instincts earned him two goals at Gent – a powerful chest down and drive and an opportunistic toe poke.

Source: UEFA.COM
 
Nawapongeza Samatta na Aboubakar na kuwashauri waendelee kushirikiana na wenzeo katika kufikia Malengo ya Maisha yao. Ila Aboubakari sijui ni kwa nini nimempongeza!
MWAFRICA ASILIA KWENYE UBORA WAKO
 
Nawapongeza Samatta na Aboubakar na kuwashauri waendelee kushirikiana na wenzeo katika kufikia Malengo ya Maisha yao. Ila Aboubakari sijui ni kwa nini nimempongeza!
Kwa sbb labda aliizamisha Misri kwa dakika za lala salama
 
Nawapongeza Samatta na Aboubakar na kuwashauri waendelee kushirikiana na wenzeo katika kufikia Malengo ya Maisha yao. Ila Aboubakari sijui ni kwa nini nimempongeza!

Najua unajua kwanini umempongeza Abuu! Ni kwa sababu ya rangi yake kwa sababu wewe ni "mbaguzi wa rangi"! Hahaha hata mie niko hivyo hivyo!
 
Hii ni hatua kubwa sana kwa Samatta itamtangaza zaidi.hongera sana Samagoal usibweteke ongeza bidii zaidi na zaidi ufike mbali zaidi.
 
Mcheji nyota na kaptain wa team ya Taifa,Taifa stars na mchezaji wa team ya ubeligiji ya Genk,ametajwa kwenye kikosi bora cha Europa 2016/20017 cha week. Katika orodha hiyo amewapiku kina Ibramovich,Paul Pogba na nyota wengine.
8613b0ea240a234b816eb024bb4ddf3f.jpg
.
Je,mafanikio haya yanaweza kumpeleka M.samatha katika team kubwa zaidi hapa duniani kama vile Barcelona?
Gonga neno Moja kwa mwakilishi wetu wa soka hapa nchini.
Source: Eufa
 
Tungekuwa na hawa wengine kama watano ndo tungekuwa na taifa stars ila kwa sasa akija stars anaingia kwenye msitu wa vila..z
 
Back
Top Bottom