Mbwa wanauzwa

MAKWAWA77

Member
Joined
May 23, 2019
Posts
8
Reaction score
1
Mbwa wa ulinzi wanapatikana Pugu Kajiungeni. Aina ni GSD wenye umri wa kuanzia miezi 3 mpaka 6. Yeyote mwenye uhitaji basi awasiliane kupitia namba ya simu 0715831645.
 

Attachments

  • 20190605_174458.jpg
    160.9 KB · Views: 61
Tuwekee bei tujipime ubavu kabla ya kukupigiq
 
Wanaliwa mkuu hao mbwa,nimchukulie mtani wangu wa iringa
 
Wafanyabiashara wa mbwa hawatajagi bei sijui kwanini tu!!! Ukimuomba anakuambia njoo DM 😁😁😁
 
Mbona Mbwa wa kwanza Kulia ana Pozi la Kijibwa Koko?
 
Mbwa wa ulinzi wanapatikana Pugu Kajiungeni. Aina ni GSD wenye umri wa kuanzia miezi 3 mpaka 6. Yeyote mwenye uhitaji basi awasiliane kupitia namba ya simu 0715831645.
Asanteni waungwana kwa support yenu. Mbwa wameishanunuliwa wote.
 
 
ACHA UONGO WW WAMEKUFA WOTE KWA DENGUE

Huu ni uswahili pure! Sometimes ni bora kukaa kimya ukatunza heshima yako kuliko kuandika madudu umuharibie mwenzio biashara, halafu bila faida yeyote.

Ukiskia uchawi ndo huu sasa
 
Huu ni uswahili pure! Sometimes ni bora kukaa kimya ukatunza heshima yako kuliko kuandika madudu umuharibie mwenzio biashara, halafu bila faida yeyote.

Ukiskia uchawi ndo huu sasa
Thanks ndugu. This is Bongo aisee. Platforms zimewekwa ili tubenefit nazo but sadly hatujielewi. Wenyewe tunasema eti 'HAPA KAZI TU'.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…