Happy Hippo
New Member
- Nov 25, 2017
- 2
- 0
mnaweza kudelete
Hawa wanaitwa Msaga sumu, wanakula mpanga ngozi ya kiatuAina gani ya mbwa hao ndugu mtoaMada.
Kumbe nawe ni mlevi mwenzangu wa wadudu hao?Ha ha ha ha acha nipite
Nilivyokurupuka kufungua nikajua ni rottie au shepherd.
Hongera lakini kwa kuku za.
Ha ha ha ha acha nipite
Nilivyokurupuka kufungua nikajua ni rottie au shepherd.
Hongera lakini kwa kuku za.
Kumbe nawe ni mlevi mwenzangu wa wadudu hao?
Aisee, hunizidiI love dogs