Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 750
- 367
Mimi pia niliwahi kuitumia hii, nilisumbuliwa sana na vijibwa vidokozi vya jirani. Inafanya kazi 100% Mkuu ajipinde tu na kilo kadhaa, wakifa hata wawili mmiliki atashtuka.Dawa yao ni ndogo sana, hata mimi nilishawahi kukerwa na majimbwa kama hayo, unajua nilifanyaje? Nilinunua sumu ya panya nikanunua na nyama nikaikatakata vipande vidogovidogo nikaipaka ile nyama. Sina haja ya kuendelea.
Hivi ukiishi daah, unategemea kuna ambacho hutoogopa!!?Mnaogopa Mbwa?!!!!
Wee.. Mimi huwa sina urafiki na hao waduduMnaogopa Mbwa?!!!!
Kuna sheria za haki za wanyama Tanzania, Ngoja tujaze ushahidi iwe fundisho kwa wengine kwa kuanza na weweDawa yao ni ndogo sana, hata mimi nilishawahi kukerwa na majimbwa kama hayo, unajua nilifanyaje? Nilinunua sumu ya panya nikanunua na nyama nikaikatakata vipande vidogovidogo nikaipaka ile nyama. Sina haja ya kuendelea.
Umeeleza vizuri mwisho umeharibuHuku kwetu kuna mzee anafuga mbwa koko. Mchana huwafungia ndani ya namba take (fensi) ikifika usiku wa saa 6 usiku anawafungulia wanatoka nje kabisaaa ambapo nje ya nyumba yake imepita barabara ya lami inayotumiwa na watu 24 hours wakielekea machinjioni Vingunguti.
Mbwa hawa kuna siku nimeshuhudia wakiwakimbiza akinamama alfajiri, walipata tabu sana. Kuna siku wamening'ata mimi mwenyewe.
Nilishafikisha taarifa hii s/mitaa lakini hawajashughulikia. Nilimwambia mtufulani mtangazaji wa radio fulani akaenda akahojiana na wahusika wakamuahidi hawatawatoa tena nje, chaajabu bado huwa nawaona kila alfajiri nikienda kazini.
Naomba dawa ya kudumu kwa tatzo hili. Mimi kama raia nakerwa sana na hili. Namba yangu ni 0714045080, kama mjasiir nikuelekeze ujifanye ofisa wa maswala hayo upige hela.