Mbwa gani amechoka hadi anakula udogo
kuna mzungu aliniambia ukitaka kujua mbwa mzuri interviwe yake ni msosi ,wewe mtupie chakula chochote chini ukiona amekimbilia akala huyo temana nae,mbwa mzuri anakula kwenye plate yake tu.
Basi kuna siku moja jamaa akaleta mbwa kurushiwa tu mchicha khaa kidogo avunjike mguu...
Ssa huyo wako mkuu anakula udongo wakija vijana wamejipanga wamechoma na mbuzi vizuri hata kabla hawajafika si anawafungulia geti huyu?
mkuu kuna mbwa wanajiheshimu acha tu,unapoongelea mbwa wa ulinzi anatakiwa awe na adabu zaidi..ujue majambazi wakijua kwako kuna mbwa wanachoma kuku au mbuzi fresh wanaweka na sumu wanamtupia mbwa kwisha habari. sasa mbwa mwenye adabu hali kitu chochote hadi kwenye bakuli lake .huyu wa ndugu yetu anakula hadi udongo huyu simuamini labda awe tu wa home sio wa ulinziTeh! Teh! Teh! Smile umenichekesha mno!!
Mbwa gani amechoka hadi anakula udogo
kuna mzungu aliniambia ukitaka kujua mbwa mzuri interviwe yake ni msosi ,wewe mtupie chakula chochote chini ukiona amekimbilia akala huyo temana nae,mbwa mzuri anakula kwenye plate yake tu.
Basi kuna siku moja jamaa akaleta mbwa kurushiwa tu mchicha khaa kidogo avunjike mguu...
Ssa huyo wako mkuu anakula udongo wakija vijana wamejipanga wamechoma na mbuzi vizuri hata kabla hawajafika si anawafungulia geti huyu?
duuh kweli aisee twende zetu kwenye maloveeeHa ha ha smile unachafua biashara ya mdau,, kwa hiyo unamaanisha huyu mbwa akipewa kitimoto na kachumbari yake anawapokea wezi vizuri na kuwaelekeza mpaka vitu vya kuiba?
Mbwa gani amechoka hadi anakula udongo
kuna mzungu aliniambia ukitaka kujua mbwa mzuri interviwe yake ni msosi ,wewe mtupie chakula chochote chini ukiona amekimbilia akala huyo temana nae,mbwa mzuri anakula kwenye plate yake tu.
Basi kuna siku moja jamaa akaleta mbwa kurushiwa tu mchicha khaa kidogo avunjike mguu...
Ssa huyo wako mkuu anakula udongo wakija vijana wamejipanga wamechoma na mbuzi vizuri hata kabla hawajafika si anawafungulia geti huyu?
Ndugu msomaji nauza mbwa wa ulinzi aina ya German shephered kama anavyoonekana kwenye picha.
bei ni 350,000/- tu. Kwa wale wote wanaohitaji tafadhali ni PM kwa maelezo zaidi.
Asante