Anakamata bila shida yoyote ile. Hata police wanawatumia ktk ulinzi piawanaweza kukamata digidigi porini?
Hongera mbwa wako wote wazuri tena wana ubora stahiki ila achana na lugha ya kasumba badala ya kuwaita mbwa wa Kizungu Waite mbwa wa Kisasa.Nauza mbwa wa kizungu kwa gharama ya laki nne na nusu ila mazungumzo yapo.kwa mawasiliano zaidi 0719708708![]()
![]()
wazazi wao hao .karibun![]()
Hongera mbwa wako wote wazuri tena wana ubora stahiki ila achana na lugha ya kasumba badala ya kuwaita mbwa wa Kizungu Waite mbwa wa Kisasa.