Mbwa- german Shepherd

Tougher

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
245
Reaction score
65
Wakuu,

Kwa anyehitaji nauza mbwa wadogo (Puppies).

Aina ya mbwa ni German Shepherd

Idadi: Wapo Sita (Vijike 2, na vidume 4)

Chanjo: Wameshapata chanjo ya DHLP

Bei: TZS 300,000/-

Anayehitaji aniPM tafadhali
 
Wakuu,

Kwa anyehitaji nauza mbwa wadogo (Puppies).

Aina ya mbwa ni German Shepherd

Idadi: Wapo Sita (Vijike 2, na vidume 4)

Chanjo: Wameshapata chanjo ya DHLP

Bei: TZS 300,000/-

Anayehitaji aniPM tafadhali

Laki moja mkuu utaniachia mmoja?
 
Wakuu,

Kwa anyehitaji nauza mbwa wadogo (Puppies).

Aina ya mbwa ni German Shepherd

Idadi: Wapo Sita (Vijike 2, na vidume 4)

Chanjo: Wameshapata chanjo ya DHLP

Bei: TZS 300,000/-

Anayehitaji aniPM tafadhali
Wana umri gani? Wanaweza kuchukuliwa toka kwa mama yao bila matatizo kuwalisha?
 
Kama kweli wazazi wote ni GS basi Nahitaji jike ila niko nje ya Tanzania. Niwekee narudi mwezi wa pili katikati.
 
Kaka GSD pure hawako hivyo, ni bora ungeandika cross ya GSD na Mbwa breed nyingine unayoijua. Sifa ya GSD hawana soksi miguuni. Hao puppy ukiwaangalia wana rangi nyeupe miguuni.
 

Mkuuu unafanya shughuli ya kufundisha mbwa? If yes please Ni PM au kama inawezekana nipe bei ya kufundisha mbwa na ni mbwa wa kuanzia umri gani hadi umri gani anafundishika kirahisi?
 

Acha kupotosha ndugu fuatilia sifa za GSD hapa ujifunze German shepherd puppy pictures 2007
 
Niache kupotosha au wewe ndo uache kupotosha? Zingatia ujumbe wangu. Hebu linganisha puppy wako na hao walioko kwenye link ulioionyesha, wa kwenye link ndo haswa Gsd sio hao wa kwako. sijui hao mongrel umewatoa wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…