Dah mkuu boresha tangazo kwanza mbwa mchafu location chafu then 400k kumbuka mbwa uyo hawanunui watu wa tandale kwa tumbo au mbagala kwa yamba au buza kwa lulenge.
Pure breed puppy ya german shepherd inauzwa hadi laki 8 mkuu . Sema angepiga na picha ya mama yake na baba yake ili tujue muunganiko wa katoto.maana kwa mfanyabiashara wa mbwa siriaz haruhusu kuchanganya mbegu na mbwa wa vilabuni.
Ukiwa na pure breed na wewe utauza vi puppy kwa hela nyingi hivyo hela ya matunzo na uliyonunulia itarudi.
Dah mkuu boresha tangazo kwanza mbwa mchafu location chafu then 400k kumbuka mbwa uyo hawanunui watu wa tandale kwa tumbo au mbagala kwa yamba au buza kwa lulenge.
Yaani laki nne mtu anapata kiwanja heka nzima, mwingine anapata mtaji.
Sasa pale kwetu huyo mbwa huwa tunabadilishana na kuku. Kuku mmoja kwa mbwa mmoja. Ukiuza laki nne huyo mbwa nipatie ushaidi nikuongezee laki ukalewe vizuri.