raia wa mbinga ni mambulula mtaogelea vumbi jekundu mpaka mtakapokufa
Mbunge wetu wa Jimbo la Mbinga mashariki wakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010,ulituahidi wakazi wa mbinga kuwa utajenga Chuo hapa Mbinga mjini hadi sasa hakuna ulichofanya na hakuna taarifa yoyote kwa wananchi kuwa umefikia wapi kuhusu hili.Tekeleza ahadi zako 2015 sio mbali, usije ukaanza kutafuta mchawi.
Nyinyi ni wajingaaa mlikubali mtajengewa chuo mkatoa kura? kama kwamba mbinga yote ni mademu??? sasa mnatuambia upuuzi huo, muliuliza pesa atatoa wapi??? changeni pesa mmpe awajengeeee hicho chuo;Mbunge wetu wa Jimbo la Mbinga mashariki wakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010,ulituahidi wakazi wa mbinga kuwa utajenga Chuo hapa Mbinga mjini hadi sasa hakuna ulichofanya na hakuna taarifa yoyote kwa wananchi kuwa umefikia wapi kuhusu hili.Tekeleza ahadi zako 2015 sio mbali, usije ukaanza kutafuta mchawi.
teh teh, mkuu yuko busy kuwaandalia kanga na kofia ili awahonge tena wana mbinga mwaka 2015, wabunge wa mbinga ni mizigo!chuo tu,hebu sema ametekeleza kipi?pale tumelamba galasa...ngasindo ndeka,2015 ihikaje
fisadi atawkumbuka ???????[
99% y madiwan wa mbinga n nyasa n waccm lakin bado hakuna maendeleo yoyote na wananchi bado wanaiman na ccm! tunahtaj ukomboz wa kisiasa kwanza!
Kayombo na Komba ni kama mkosi vile , juhudi pekee za ndugu KAYOMBO ninazozikumbuka ni pale alipotokwa na mapovu mengi baada ya neno DHAIFU kusimikwa rasmi bungeni na mh Mnyika .