Mchapakazi sana sema hayupo kwenye wezi wa taifa hili maana hao ndio wananchi SasaBaadhi ya Wabunge wetu ni wazuri sana. Huchangia na kusimamia hoja za msingi za kutetea maslahi ya watu wa Jimbo lake na Taifa kwa ujumla.
Wabunge wengine huenda Bungeni kusinzia, kukaa tu kimya au kuchangia hoja za kulinda maslahi yao tu.
Je, Mbunge wako ni wa aina gani?
Mbunge wangu mimi ni kama huyu anayepeleka hoja kama hizi bungeni.Baadhi ya Wabunge wetu ni wazuri sana. Huchangia na kusimamia hoja za msingi za kutetea maslahi ya watu wa Jimbo lake na Taifa kwa ujumla.
Wabunge wengine huenda Bungeni kusinzia, kukaa tu kimya au kuchangia hoja za kulinda maslahi yao tu.
Je, Mbunge wako ni wa aina gani?
Vipi kuhusu yule aliyetangazwa? Anaupiga mwingi japo hakushinda?Mimi mbunge wangu hakutangazwa japo alishinda. Kwahiyo sina mbunge.
Sijui kama kuna watu wana wabunge kwenye hilo genge la wahuni waliopora haki ya wananchi kuwachagua wabunge wanaowataka.Baadhi ya Wabunge wetu ni wazuri sana. Huchangia na kusimamia hoja za msingi za kutetea maslahi ya watu wa Jimbo lake na Taifa kwa ujumla.
Wabunge wengine huenda Bungeni kusinzia, kukaa tu kimya au kuchangia hoja za kulinda maslahi yao tu.
Je, Mbunge wako ni wa aina gani?
Simfuatilii kabisaVipi kuhusu yule aliyetangazwa? Anaupiga mwingi japo hakushinda?
🤣🤣🤣🤣Mimi wangu ni Babu tale!!😀 Asee magufuli.....