Mbunge wa Ngara aendelea kuaibika zaidi

Mbunge wa Ngara aendelea kuaibika zaidi

JF- KYOMA

Member
Joined
Jan 14, 2014
Posts
79
Reaction score
42
Mbunge wa jimbo la ngara mh. Ntukamazina ameaibika katika uwanja wa posta ya zamani baada ya kuwahutubia watu wasiozidi 20 tena makao makuu ya wilaya na jimbo la Ngara.

Hii ni aibu kubwa kwani walioko ni mabalozi hata madiwani hawapo na viongozi wa ccm wilaya wamemtelekeza na picha ni hizo hapo chini mbunge akihutubia tena kwa cone spika.
 
picha ziko wapi?
 
Mkuu kama umeshindwa kuweka picha zitume kwenda suport@jamiiforums.com ili wakina Maxence Melo wakusaidie. kuweka.
 
Last edited by a moderator:
picha mkuu, aah ! Lakini haina haja hawa watu walisha aibika siku nyingi ndiyo maana wenzao wanawasomba kwa malori

ila kwa nini watu wamsusie mbunge wao ?
 
Ngoja ni mpigie kijana wangu kenedy staphord.

'pamoja daima'
 
Mbunge wa jimbo la ngara mh. Ntukamazina ameaibika katika uwanja wa posta ya zamani baada ya kuwahutubia watu wasiozidi 20 tena makao makuu ya wilaya na jimbo la Ngara.

Hii ni aibu kubwa kwani walioko ni mabalozi hata madiwani hawapo na viongozi wa ccm wilaya wamemtelekeza na picha ni hizo hapo chini mbunge akihutubia tena kwa cone spika.
Chadema ilianza na Mungu itamaliza na Mungu
 
Kama alishindwa kutimiza yale aliyoahid hawana budi kumchinjia baharin na kwenye mikutano ahudhurie mwenyewe ili ashike adabu
 
viva cdm. Juzi j3 huyu mbunge aliarikwa radio kwizera ili aeleze mfuko wa elimu alioanzisha kila kata.alipojua mkiti wa chadema ndugu staford yupo mbunge aliingia mitini. Siku hiyo staford alimpga madongo mazito.watu wanchanga pesa zinaenda kwa katibu wa ccm kata, mara pesa zilizochangwa kila arambee hazijulikani. Huyu aage tu, cdm wanabeba jimbo. Ata ruhuza nataka ateme nccr ili wafutike jumla ccm na nasisikara
 
Back
Top Bottom