Mbunge wa Mtera azindua kampeni za CCM

Mbunge wa Mtera azindua kampeni za CCM

Amatjr

New Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Hamna cha maana alicho ongea kwaajili ya wana nchi wa kata ya mpwapwa mjini . Ana waeleza tu maana ya rangi ya kijani na lugha za kejeli kwa chadema huyu si mwingine ni kibajaji wana muita
 
Huyo hana jipya zaidi ya kuwa chamatusi,sidhani kama wapiga kura wake wanahitaji tambo zaidi kutatua kero zao hasa maji,zahanati na huduma zingine muhimu vijijini ukizingatia Dodoma umasikini unazidi kukandamiza wana nchi na wapiga kura wake,yeye anakomaa na mitusi!!!sio zama hizi!wananchi wameshaamka sasa!!kama hana sera na mifano hai kwa miaka 5 hii amekwisha!!!!!!!!
 
Hapo ndiyo ujue ccm ilikwisha kufa kabla hatujafa sisi. Yaani matusi yote yale bado tu mnamtumia alusinde, unahitaji moyo wa maiti kuamini mtu kama Lusinde anaweza kushawishi wapiga kura. Nasikia hata yule aliyeshikwa ugoni Igunga amepangwa kusimamia show ya Sumbawanga.
 
ccm inajivunia ujinga iliowajaza watanzania walio wengi. inajua watanzania walio wengi vijijini hata ukiwatukana halafu ukaenda kuwaomba kura lazima watakuchagua tuu. iliwafanya watanzania walio wengi wawe wajinga ili isiwe inapata changamoto kwenye chaguzi. ila hata hivyo, mwisho wake upo karibu saana.
 
Back
Top Bottom