ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
Joseph mbilinyi aka Sugu mbunge wa Mbeya na msanii wa kizazi kipya, ameweka wazi mipango yako hapo badae ya kuea rais wa Tanzania
Kufika mwaka 2030 Sugu atakuwa rais wa nchi hii na amesema atachagua aishi chamwino au Magogoni!
Mbunge huyu ameyasema haya kupitia wimbo mkali alioshirikishwa na msanii Azma, "Garagasha" ndani ya wimbo huo yupo pia Izzo b na Bela music
Kila la kheri sugu, rais 2030