Mbunge wa Kinondoni bwana Mtulia kulikoni kulindwa na Serikali?

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,550
13,037
Mbunge wa kinondoni bwana Mtulia analindwa na wanausalama watatu.
Hawa hujigawa kama hivi wawili huwepo mmoja hukaa karibu na alipokaa, mwingine around na mwingine kwenye gari?
Nilipomuona nilijiuliza maswali mengi kulikoni mbunge huyu tena aliyejiunga na chama pendwa kwa kuunga mkono juhudi analindwa hivi?
 
Wewe umejuaje kama hao ni TISS?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi unataka kumdhuru au?
 
Hahahaha upinzani kwisha kabisa kabisa, maana siku hizi mnacheza goma la CCM
 

kazi hakuna na hao ni wapambe wake ambao wapo bega kwa bega kuakikisha wapambe nuksi
 
Acheni kutufanya sisi Mazombi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…