Mbunge wa Jubilee akiri Kenya imekua ikipika taarifa za uchumi wake, awaomba radhi wakenya kwa kuwadanfanya, asema hali ni mbaya.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613

Waswahili husema, mimba haifichiki lazima ipo siku utazaa na mtoto ataonekana. Hiki ndicho kinachotokea kwa jirani wetu mpendwa.

Kwa muda mrefu tumekua tukiwaambia kwamba Serikali yao inatoa taarifa za uongo kuhusu uchumi wao, lakini wamekua wakiwaamini na kuwasikiliza viongozi wao wa Jubilee wakiwapa matumaini ya uongo, sasa hao waliokuwa wakiwapa matumaini wanasema walikuwa wanawadanganya, sasa wanawaomba msamaha kwa udanganyifu huo.

Kwasababu ya tabia ya wakenya kupenda sifa na kujipiga kifua, watapinga matamshi ya huyu mbunge, bado watashikilia kwamba uchumi unafanya vizuri, ili kuridhisha "ego" zao. Poleni sana.
 
Back
Top Bottom