Yupo msogaNauliza yule mbunge wa jumbo la Kalenga ambaye alichaguliwa baada ya baba yake kuaga dunia yupo wapi?
Bungeni hasikiki tena ni kijana kabisa
Jimboni haonekani tena ana nguvu kabisa
Ahadi alizoahidi hatekelezi
Madiwani hawana majibu kuhusu yeye.
Labda namuonea naomba taarifa zake
Ohoooo!!!kamweneYani Hata Mimi Sina Habari Yake Duuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tupo nae mjini dar huku tunakula maisha,Nyie endeleeni kula bagia huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karudi kubeba box, mtamuona 2020, muwe wapole
Ivi segita yale mafuta ya diva maxima maxitone nayapata maduka ganiYani Hata Mimi Sina Habari Yake Duuuh