GE2025 Mbunge wa Jimbo la Geita mjini anayemaliza muda wake Costantine Kanyasu achukua fomu ya kutetea jimbo lake

GE2025 Mbunge wa Jimbo la Geita mjini anayemaliza muda wake Costantine Kanyasu achukua fomu ya kutetea jimbo lake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Mbunge wa Jimbo la Geita mjini anayemaliza muda wake Costantine Kanyasu leo Jumatatu Juni 30, 2025 amejitokeza katika ofisi za CCM wilaya ya Geita na kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika jimbo la Geita mjini.

Kanyasu amehudumu katika Jimbo la Geita kwa muda wa miaka 10 kuanzia mwaka 2015 ambapo hii ni awamu ya tatu kujitokeza.

Miongoni mwa wanachama waliojitokeza kuchukua fomu katika jimbo la Geita mjini ni pamoja na mwenyekiti wa UVCCM mkoa Manjale Magambo, aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Geita Mhandisi Gabriel Luhumbi, MNEC Chacha Wambura, Elia John, Abdullah Barre, nk
1751287989579.png
 
Back
Top Bottom