Wagogo Dom ni kama Waruguru pale Moro, kila wakifanya kale ka-ubaguzi eti tumchague wa kabila letu "inakula kwao". Hadi watakapoacha hii dhambi ndo waendelee. Huyo Madege niliwahi kusikia alitangaza kutogombea tena, mara akapata ma-bush lawyer wakamshauri agombee. Ndipo hapo wagogo walipompiga kibuti cha mbavu. Kuna yule alokuwa meya wa Dar alienda kugombea huko, sikumbuki kipi kilimpata.