Tembelea Makulu utaona vijumba visivyo na mipangilio vinavyoota kama uyoga. Hakuna hata barabara, miundo mbinu ni very poor. Vilabu vya pombe za kienyeji vimeshamiri. Hapo ni Makulu ipo Mjini inaongozwa na Diwani Bilingi wa Chadema. Ni sehemu iliyosahaulika na kutelekezwa na Uongozi wa Mkoa, Wilaya na pia CDA.
Kitongoji kipo kama uwanja wa fisi. Mkuu wa Mkoa analifahamu vema suala hili na hapendi kukwazwa kwa kushamiri kwa hali hii.