Rumishaeli
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 227
- 73
Hapa swala si ugonjwa wa Jerry Solomon. Hoja za wadau ni je sheria inasemaje pale mbunge mteule anaposhindwa kuhudhuria vikao vya bunge kwa mwaka mzima. On top of that mbunge huyo hajaapishwa. Je nini kingetokea kama mbunge huyo angekuwa wa upinzani?Ugonjwa hauna mwenyewe, tusishangilie, tusiwaumize zaidi ndugu zake ambao wanateseka bila shaka kumhangaikia ili apone na kuendelea kuihudumia familia yake. Tusishabikie ugonjwa wa mtu kisiasa. Ilikuwa kosa la magamba kung'ang'ania kuchukua jimbo hata kwa njia ya wizi wa kura ilhali wakijua mgombea wao alikuwa mgonjwa. Tumwombee Jerry apone maradhi hayo kama ni mapenzi yake Mola ili atumikie wana Arumeru. Ikidhihirika kinyume chake, basi achaguliwe mbadala, hapo twaweza kushangilia kwani Mgombea Chadema aliyedhulumiwa haki yake, njia ya ushindi itakuwa nyeupe. Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki wape uvumilivu wana Arumeru. Mungu mpe afya Jerry S.
Hapa swala si ugonjwa wa Jerry Solomon. Hoja za wadau ni je sheria inasemaje pale mbunge mteule anaposhindwa kuhudhuria vikao vya bunge kwa mwaka mzima. On top of that mbunge huyo hajaapishwa. Je nini kingetokea kama mbunge huyo angekuwa wa upinzani?
atasahau vitu vyote sijui kama atakuja kusahau kama yeye ni mbunge.yule mzee alipooza halafu ana ugojwa wa alzheimer ( ugonjwa wa kusahau)...
Hapa swala si ugonjwa wa Jerry Solomon. Hoja za wadau ni je sheria inasemaje pale mbunge mteule anaposhindwa kuhudhuria vikao vya bunge kwa mwaka mzima. On top of that mbunge huyo hajaapishwa. Je nini kingetokea kama mbunge huyo angekuwa wa upinzani?
Ama kwel hata mimi nilishawah kujiulza maswal kama hayo! Huyu jamaa nasikia huwa haishi huku tz(arumeru) sasa cjui anaish wapi! Mi nadhani Wana arumeru(Wameru) wameshashikwa,na wajifunze kutokana na makosa. 2015 ndo hyo inakuja,je wananchi bado mtaendelea kumpa kula???
Wacha uongo wewe! Kaaya ndiye alichakachuliwaArumeru ongeeni na Mbunge wenu Nassari maana huyo ndo alichakachuliwa