Jamani wanaJF mbunge Nkamia hivi karibuni aliwachukua waandishi wa habari wa Kike kutoka Arusha(PAMELA MOLLEL NA ASHURA MOHAMED) kufanya ziara jimboni mwake,lakini mambo haya kuwa hivyo kwani wadaku wamegundua kuwa mheshimiwa huyo aliwapangishia hotel mjini Kondoa kwa wiki mbili akifaidi mema ya nchi,na kibaya zaidi waandishi hao wamekuwa wakiwatambia wenzao kutokana na kitita cha fedha walichovuna kutoka kwa mheshimiwa huyo.sasa wakuu JF tuchangie ukimwi utaisha kwa jinsi hii.
sasa huko jimboni hawa waandishi wana nyumba za kuishi? Au wangefikia wapi? Nyumbani kwa mbunge?
Hiyo ziara haijafanyika?
Na kama kawatoa arusha hadi kondoa ulitaka awapeleke bila kuwapa posho?