Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,101
- 144,560
Huo mchango kautolea bungeni au Bar? Naona muda wa kikao cha jioni bado, au wamebadili?Mbunge mmoja amemtaka waziri wa uchukuzi mh.Mwakyembe nae ajiuzulu na kumpongeza waziri wa zanzibar wa miundombinu kwa kujiuzulu.Amesema atamshangaa endapo atamuona anasimama bungeni kuwasilisha bajeti ya wizara yake na amesema wazi anamshangaa mpaka sasa ajajiuzulu.Mbunge huyo ametoa kauli hiyo jioni hii wakati akichangia bajeti ya wizara ya mawasiliano,sayansi na teknolojia.
Mbunge mmoja amemtaka waziri wa uchukuzi mh.Mwakyembe nae ajiuzulu na kumpongeza waziri wa zanzibar wa miundombinu kwa kujiuzulu.Amesema atamshangaa endapo atamuona anasimama bungeni kuwasilisha bajeti ya wizara yake na amesema wazi anamshangaa mpaka sasa ajajiuzulu.Mbunge huyo ametoa kauli hiyo jioni hii wakati akichangia bajeti ya wizara ya mawasiliano,sayansi na teknolojia.
hiyo ndio cuf ilivyowapika viongozi wake imetoa somo namna gani kiongozi anatakiwa awe,
Mbunge mmoja amemtaka waziri wa uchukuzi mh.Mwakyembe nae ajiuzulu na kumpongeza waziri wa zanzibar wa miundombinu kwa kujiuzulu.Amesema atamshangaa endapo atamuona anasimama bungeni kuwasilisha bajeti ya wizara yake na amesema wazi anamshangaa mpaka sasa ajajiuzulu.Mbunge huyo ametoa kauli hiyo jioni hii wakati akichangia bajeti ya wizara ya mawasiliano,sayansi na teknolojia.
Bunge la nyumbani kwako??. Musa wa bunge jioni bado. Kwa nini usitaje jina la huyo mbunge. Ndio madhara ya gongo za mchana.
Nadhani umekaribia 55yrs ili uchukue NSSF yako.Hivi wewe unaishi nchi gani au wewe ndio mnywa gongo na mropokaji.Kwa taarifa yako bunge sasa linaanza saa kumi jioni badala ya saa kumi na moja ili kutoa fusa kwa wabunge waislamu wapate muda wa kufuturu.Na bunge linaishia saa kumi na mbili jioni.
Acha kujiona mjuaji na kama uko nje ya nchi basi uwe mpole na sio kukurupuka.