Mbunge Msigwa azidi kuingarisha CHADEMA-Picha

Mbunge Msigwa azidi kuingarisha CHADEMA-Picha

ccm haijawahi shinda uchaguzi tokea 1995,si bara si visiwani..wizi mtupu,hiki chama kilishasahau ladha ya ushindi kwenye chaguzi,na siku inakuja pale jeshi la kulinda taifa na askari watakapowachoka.
 
Ndio maana wanalilia DC awepo kwenye tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya!
 
du watu wenyewe hata 200 hawafiki

ungekuwa mkutano wa ccm na watu hawajabebwa na malori,hawajapewa pilau,cheap t-shirts,vikofia(kama ganda la chungwa)vijikhanga,na rushwa za shilingi elfu mbili mbili,..watu wasingefikia hata 10...mafisadi oyeee
 
du watu wenyewe hata 200 hawafiki

ni kweli hawafiki 200 lakini hao 200 ndo ambao walimtoa kamasi baba mwanaasha mpaka akaiba kura vibaya sana 2010....yaaani 2015 hakuna rangi CCM mtaacha kuona na mtasikia utamu vibaya sanaaaaana...
 
du watu wenyewe hata 200 hawafiki

ukombozi unaanza na wachache kuliko kuwa na wengi wakugawiwa kanga,T-shirt, kofia na mia mbili mbili.
Mtagawa mpaka mfilisike kwani mahitaji ya hizo 200 yamekuwa makubwa kuliko uwezo wenu.
 
Kazi nzuri, hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Hao madogo wawili nimewakubali sana ndo makamanda wa baadae hao,ccm kwishney
 
Nimeamini kila lenye mwanzo lina mwisho wake na kama inawezekana mtu kubadili dini bac hata chama inawezekana kiac kikubwa, sasa imefika wakat tubadilike...!CHADEMA mwanzo mwisho waacheni CCM wajipe matumaini.
 
Back
Top Bottom