Mbunge John Shibuda awashukia UKAWA

Mbunge John Shibuda awashukia UKAWA

von Meshak

Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
12
Reaction score
3
"Viongozi Ukawa Wanakabiliwa & Ombwe La Mtindio Wa Elimu Uraia &Ukosefu Wa Uzalendo.Wanataka Matone Ya Damu Kama Kafara Kuingia Ikulu.Ni Vema Wajue,Gunia Tupu Halisimami Wima.Naasa Chadema Wawe Sikio Lenye Kupenda Kusikia Wasicho Penda Kusikia.Nimeamua Kujiondoa Mwenyewe,Naomba Waandae Wagombea Ubunge Mashariki& Magaribi,Ili 2015 Tukutane Nao Uwanjani,Kwani Maswa Ina Wenyewe& Biashara ----- Lala Ilikwisha Zamani.Ningeunga Mkono Maandamano Yenye Kudai Elimu Bora Nchini,Stahiki Za Afya,Ardhi Tengefu Ya Malisho,Uvuvi &Kilimo.Bei Thaminifu Ya Pamba& Mishahara Linganifu Ya wafanyakazi"
 
Uzalendo ndio nn kwan? Maana naona mafisadi nao wanajiita wazalendo…!! Mwangosi ameuliwa na nan? Ulimboka je? Elimu hp apo unaizungumzia? BRN?
 
Wachana nalo hilo Debe tupu haliachi kutika; linatafuta kuonewa huruma ili CCM walipokee tena mwakani kwani anajua fika CDM hana chake tena.
 
shibuda hatishwi wala hayumbishwi na mtu. anasimamia maamuzi yake mwenyewe.
 
"Viongozi Ukawa Wanakabiliwa & Ombwe La Mtindio Wa Elimu Uraia &Ukosefu Wa Uzalendo.Wanataka Matone Ya Damu Kama Kafara Kuingia Ikulu.Ni Vema Wajue,Gunia Tupu Halisimami Wima.Naasa Chadema Wawe Sikio Lenye Kupenda Kusikia Wasicho Penda Kusikia.Nimeamua Kujiondoa Mwenyewe,Naomba Waandae Wagombea Ubunge Mashariki& Magaribi,Ili 2015 Tukutane Nao Uwanjani,Kwani Maswa Ina Wenyewe& Biashara ----- Lala Ilikwisha Zamani.Ningeunga Mkono Maandamano Yenye Kudai Elimu Bora Nchini,Stahiki Za Afya,Ardhi Tengefu Ya Malisho,Uvuvi &Kilimo.Bei Thaminifu Ya Pamba& Mishahara Linganifu Ya wafanyakazi"

Ukiwa na mwanafunzi wako wa shule ya masingi, akakuandikia maneno ya aina hii utaelewaje? Huwezi hata kujua anasimulia nini? Lengo ni nini?.

Shibuda ana tabia ya kuzungumza neno lolote la kiswahili hata kama halina maana ya matumizi hapo lilipo. Huyu mtu ana elimu ya darasa la ngapi jamani.Yaani anaamua kukusanya maneno ya kiswahili na kusema anazungumza, ndo tunavyozungumza hivi?
 
Tuta dai katiba mpya kwa njia yoyote hata ikibidi damu imwagike nimapambono kwenda mbele viva mbowe
 
Uzalendo ndio nn kwan? Maana naona mafisadi nao wanajiita wazalendo…!! Mwangosi ameuliwa na nan? Ulimboka je? Elimu hp apo unaizungumzia? BRN?

Hivyo kumbe bado mnaitumia ile single ya Mwangosi na ufisadi! Chagadema kweli hamna jipya! Kumbe ndio maana mnawalazimisha waandishi wa habari wakae upande wa waandamanaji ili afe mwingine mtoe remix! Tumewashtukia.
 
Tuta dai katiba mpya kwa njia yoyote hata ikibidi damu imwagike nimapambono kwenda mbele viva mbowe

Mnadai katiba gani sasa wakati bunge la katiba linaendelea na kazi na hao waume zenu wametoka bungeni, wanadai katiba mabarabarani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom