Mbunge John Shibuda awashukia UKAWA

Mbunge John Shibuda awashukia UKAWA

von Meshak

Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
12
Reaction score
3
"Viongozi Ukawa Wanakabiliwa & Ombwe La Mtindio Wa Elimu Uraia &Ukosefu Wa Uzalendo.Wanataka Matone Ya Damu Kama Kafara Kuingia Ikulu.Ni Vema Wajue,Gunia Tupu Halisimami Wima.Naasa Chadema Wawe Sikio Lenye Kupenda Kusikia Wasicho Penda Kusikia.

Nimeamua Kujiondoa Mwenyewe,Naomba Waandae Wagombea Ubunge Mashariki& Magaribi,Ili 2015 Tukutane Nao Uwanjani,Kwani Maswa Ina Wenyewe&Biashara ----- Lala Ilikwisha Zamani.

Ningeunga Mkono Maandamano Yenye Kudai Elimu Bora Nchini,Stahiki Za Afya,Ardhi Tengefu Ya Malisho,Uvuvi &Kilimo.Bei Thaminifu Ya Pamba& Mishahara Linganifu Ya wafanyakazi"
 
kawapa kubwa ukwelii ndo huo.....unapinga bunge la katiba wakati liko kisheria na mahakama imetoa hukumu liendelee...chadema ni nani nchiiiii??mbowe ni nani nchii???.... nawambia mumshukuru kikwete ni mvumilivu sana la sivyo kipindi cha mkapa mngeozea jela
 
Lina macho makuuubwa kama limebanwa na mlango
 
"Viongozi Ukawa Wanakabiliwa & Ombwe La Mtindio Wa Elimu Uraia &Ukosefu Wa Uzalendo.Wanataka Matone Ya Damu Kama Kafara Kuingia Ikulu.Ni Vema Wajue,Gunia Tupu Halisimami Wima.Naasa Chadema Wawe Sikio Lenye Kupenda Kusikia Wasicho Penda Kusikia.

Nimeamua Kujiondoa Mwenyewe,Naomba Waandae Wagombea Ubunge Mashariki& Magaribi,Ili 2015 Tukutane Nao Uwanjani,Kwani Maswa Ina Wenyewe&Biashara ----- Lala Ilikwisha Zamani.

Ningeunga Mkono Maandamano Yenye Kudai Elimu Bora Nchini,Stahiki Za Afya,Ardhi Tengefu Ya Malisho,Uvuvi &Kilimo.Bei Thaminifu Ya Pamba& Mishahara Linganifu Ya wafanyakazi"

2015 atakuwepo duniani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom