Kama nipo sahihi anamsema Mbunge Deo Kasanyanda Sanga maarufu kama "Jah People" Mbunge wa Jimbo la Makambako-NjombeHata simjui anaitwa nani?
kwa majibu kama hayo eti ni gt!; afu🎵unataka nchi iendelee!na wewe kagombee kwan nani kakuzuia
anaishangaa katiba ya CCM inayomtaka mbunge ajue kusoma na kuandika tu.
Hakuna wa kumlaumu maana waliomchagua nao hawajasoma tena wengine walipiga kura kwa kusaidiwa, kwa waliomchagua sidhani kama issue ya sheria na mikataba linawagusa sana wanataka maendeleo yao wao kama wao. Nchi yangu imesahau adilifu na maadili ya uongozi linabaki kuulizana una elimu gani?
Hata simjui anaitwa nani?
mbowe mbona lipata zero form four na ni mbunge .... anatofauti gani na huyo
Natokea Makambako
kwa maendeleo anayo tufanyia huku hata awaje sisi tutampa huyu huyu! kuna majimbo kule watu wana madegree lakin hakuna maendeleo! Sasa kwa anacho tufanyia wana Makambako sisi tumeridhikaaaaaaaa! Anaye tuwakilisha ndo tumemtaka! Mambo ya sheria waachie wanasheria sisi kikubwa maendeleo!
pilipili Usio ila yakuwashia nini??
Kama nipo sahihi anamsema Mbunge Deo Kasanyanda Sanga maarufu kama "Jah People" Mbunge wa Jimbo la Makambako-Njombe
Sanga anashinda sababu ya pesa zake,ni mmoja kati ya wabunge wenye pesa nzuri ktk Bunge letu kwa biashara zake za kusafirisha bidhaa kwa malori yake na uuzaji wa vyakula hasa viazi na mahindi!Watz wanamkumbuka zaidi kwa kitendo chake cha kucheza Sindimba Bungeni siku Katiba ya Chenge ilipopita!
Mbunge Sanga hajui kusoma wala kuandika
Natokea Makambako
kwa maendeleo anayo tufanyia huku hata awaje sisi tutampa huyu huyu! kuna majimbo kule watu wana madegree lakin hakuna maendeleo! Sasa kwa anacho tufanyia wana Makambako sisi tumeridhikaaaaaaaa! Anaye tuwakilisha ndo tumemtaka! Mambo ya sheria waachie wanasheria sisi kikubwa maendeleo!
pilipili Usio ila yakuwashia nini??
Anaitwa jah people pinda anamwita mutu wa watu. amemaliza darasa la saba mwaka 2012 nadhani anampango wa kuendelea