SIMBA mtoto
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 204
- 100
Huyu mama nilimsikiliza jana nikashindwa kuelewa alikuwa anasema kitu gani.
Imebidi niingie kwenye wavuti wa bunge na nilichopata ni cv yake ambayo hajui hata alizaliwa lini.
Ofice zake anasema zipo Kyaka, Dar es Salaam, Jamani Kyaka ipo sehemu gani hapa Dar.
Huyu mama ni mtupu ni mtupu kichwani hakuna kitu, nadhani ccm walimtoa mirembe wakamchukua kwa vituko vyake, nawaomba wamrudishe akamalize tiba.
Mimi nilimwelewa sana vizuri tu
Tarehe yake ya kuzaliwa inakuhusu nini? Anyway kwa kama unatafuta mke au hawara huyu Assumpta wala hana mpango na wewe.Na usitafute mke au hawara kwenye tovuti ya bunge muda mwingi wanakuwa bungeni sio kwenye tovuti.Ni ushauri tu
Jimbo liko wazi kabisa, Nkenge kuna wasomi wa kada zote,mapro,wachumi, wansheria, wakulima wafanya biashara wazuri tu, wasomi wa kati wenye uelewa tu, sijui kwa nini hawajatutendea haki kuleta mbunge kama huyu, chonde chonde mbunge kama huyu hastaiki kuwawakilisha nshomile hadi makerere,,hdi form six ni aibu AIBU AIBU
Mkuu kuuliza sio ujinga, jimbo lake linapatikana mkoa gani?
Huyu mama ni mke wa kigogo mmoja mkubwa pale usalama wa taifa so nyuma ya pazia unaweza ukajua what is going on na jimboni kapitaje. Na atapitaje pia . Master minder wa ki cuba dalasa moja na hugo chavesi.
Mkuu kuuliza sio ujinga, jimbo lake linapatikana mkoa gani?
Huyu mama ni mweupeee na alipewa jimbo kama shukrani kwa kazi alomfanyia mkulu.unabishaaaaa
Alimuhonga mpinzani akajitoa dakika za mwisho wakati wa uchaguzi.
Anayemtetea alete Cv yake kabla ya kugombea kama amewahi kufanya harakati yoyote ya kisiasa.
Mengine wana Missenye mje hapa muongeze.
wapili ni mama yangu Bernadeta Mshashu kwakweli mama umeshusha hadhi yako bora ungebaki katika ualimu wako tu.