Mbunge apendekeza Bunge liazimie Wezi wote wa Kuku waliofungwa Waachiliwe Kwani Serikali imeshindwa kuwafunga Mafisadi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,145
Mbunge wa Mbozi George Mwenesongole amelitaka Bunge liazimie Wezi wote wa Kuku waliofungwa Waachiliwe

Mwenisongole anesema hatuwezi kuwa tunawafunga Wezi wa Kuku na kuwaacha Mafisadi wakitamba mitaani

Mwenisongole alikuwa akichangia hoja za ripoti ya CAG

Mlale Unono 😀😀
 
Back
Top Bottom