Naona Jamaa pembeni anamsaidia hapo kutamka.Katika hali isiyo ya kawaida mmoja wa wabunge wateule Mwinyi Jamal Ramadhan alipata taabu kuapa mbele ya wabunge wenzake, hali hii imetokea bungeni leo Novemba 12, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati zoezi la uapisho kwa wabunge likiendelea.
Atakua anaona marehem walio pigwa RisasUnafanya mchezo na Qur-an? Uibe halafu ushike Qur-an na unamuomba Mola "ewe mola naomba unisaidie". Hiyo mola keshakusaidia kwa kukupa ujumbe kuwa huna uwezo wala confidence ya kuwa mbunge!
Just imagine huyo kesho anarudi jimboni kwake, kweli atakuwa na mdomo huyu? Kashindwa kusoma sentesi tano ambazo mtoto wa darasa ta pili anaweza kuzisoma bila kusita sita yeye kashindwa maka anasaidiwa! Halfu kesho anapanda jukwaani na maneno tele kama debe bovu. I hope akirudi jimboni kwake watu watamfanyia mzaha wa kutosha tu.Atakua anaona marehem walio pigwa Risas
AiseeKatika hali isiyo ya kawaida mmoja wa wabunge wateule Mwinyi Jamal Ramadhan alipata taabu kuapa mbele ya wabunge wenzake, hali hii imetokea bungeni leo Novemba 12, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati zoezi la uapisho kwa wabunge likiendelea.
Wengine ni darasa la 7!Hivi presentation huko vyuoni walikua nafanyaje, wabunge haraku
Moja kati ya bunge hovyo kuwahi kutokea Tanzania, kwasababu asilimia kubwa hawatoweza kuhoji, wala kuuliza mambo maovu yatakayo kua yanafanywa na serikaliWengine ni darasa la 7!