Nilifikili kuwa cdm wanazuia wananchi wasichangie maendeleo.kumbe swala lililopo ni dc hazitaki sh3000/=.si wachangishe hizo kwanza.zisipotosha hizo fedha serekali inayokusanya kodi kutoka kwa wananchi haohao imalizie pale palipobaki.kuliko kutegemea kila kitu kifanywe na mwananchi ambae hakusanyi kodi yoyote.mbona kwenye mambo mengine wana tumia fedha nyingi sana kama kwenye sensa,katiba,chaguzi mbalimbali na zile wanazo zitorosha.naamini kuwa serekali ingekuwa inamkazo kama inavyo kazia mambo mengine na viongozi wake wakawa waaminifu maendeleo karibu yote yangefanywa pasipo kumuchangisha mwananchi hata hizo 3000 ambazo wanaziona ndogo.