Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,834
- 18,836
Hilo ni bunge futuhi.
Hata Bara atutaki akomae nao LugolaMbunge amemkanya vikali Waziri Lugola na waziri wa mambo ya nje kwamba kuna jambo wanalijua juu ya ushoga, na wanapata kigugumizi kukemea, wanajibu kwa ujanja ujanja,
"Nchi yetu ni muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar , kwa Zanzibar asilimia 99 ni waislamu na awasapoti ushoga, hivyo mtuombe radhi"
Nimeipenda hii walahiMbunge amemkanya vikali Waziri Lugola na waziri wa mambo ya nje kwamba kuna jambo wanalijua juu ya ushoga, na wanapata kigugumizi kukemea, wanajibu kwa ujanja ujanja,
"Nchi yetu ni muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar , kwa Zanzibar asilimia 99 ni waislamu na awasapoti ushoga, hivyo mtuombe radhi"