Mbowe tafaadhali bwana

Gracious

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
1,890
1,082
Mbowe umekiongoza chama chetu vizuri hadi kufikia hapa kilipo...lakini ukubali pia kwamba fikra zako kwa sasa ziimefika mwisho...hatuamini kama kuna jambo jipya utafanya ambalo hujawahi kufanya...na hapo tutegemee matokeo tofauti

tunahitaji chama kitakavyokuwa agressive na kutoa mielekeo Mbadala ya kisera...chama ambacho WATANZANIA watajua kina mwelekeo gani wa kisera....

Tunahitaji chama kitakachokuwa tena kimbilio na tumaini la vijana..chama k itakachokuwa kimbilio la wanawake...kitu ambacho wewe mbowe umefeli

T unahitaji chama ambacho hakitaiendekeza CCM. ..chama k itakachokuwa active ku deal na matatizo ya wananchi. ...

T unahitaji mwenyekiti atakayehamasisha tena Nguvu ya umma na asiyekubali kirahisi ku bow down kwa CCM kama ulivyo wewe..we need a stronger chairperson

T unahitaji chama kitakachokuwa kina lead political agenda ya nchi wakati wote..chama k itakachokuwa kwenye offensive side muda wote.

Kwa nchi za kiafrika ukiwa opposition hapaswi kuwa na siasa za "kistaarabu" muda wote..siasa ambazo lowasa ndiye anakufundisha sasa...siasa hizo hazisaidii...Kwa nchi zetu opposition unatakiwa kuwa na siasa za chuma.

umerudisha uchaguzi wa viongozi wote wa chadema mwaka 2017 badala ya 2018...vizuri...lakini na uchaguzi wa mwenyekiti ungefanyika 2017 ...tunahitaji mabadiliko katika chama.

Unao vijana wazuri tu katika chama lakini hawawezi kufanya chocolate kwa sababu maamuzi yote ni yako...Kwa sasa ni yako na lowasa....

Mbowe...before its too late...jipange ku step down 2017 utoe nafasi kwa fikra mpya ndani ya CHADEMA
 
Back
Top Bottom