Mbowe: Serikali ya Rais Samia ni ya anasa

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
3,889
Reaction score
8,486
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe wakati akiwasilisha ujumbe wa maandamano ameonya kuwa serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia imekuwa ya anasa kupitiliza kwa maafisa wake kulipana posho nono na safari zisizoisha.

Mbowe amesema serikali hii imewasahau wananchi wake kwani vitu vinapanda bei kupitiliza kila siku na kuyafanya maisha kuwa magumu sana.


View: https://youtu.be/t4wRMiyEMUc?si=GhdkzwkPIUkp5JAw
 
Mimi siwaelewi wapinzani wanataka nini, hivi vyote JPM hakufanya ila walimuona mshamba na hawakuisha kumzodoa leo hii wanashindwa tu kusema JPM alikuwa mfano wa kuigwa.
 
Ila tulilalamika sana kwamba inakuwaje Rais hasafiri, mawaziri hawasafiri....?
 
Kulwa Jilala ni wewe kweli? Zezeta la Lumumba.
 
Yupo sahihi
Anasa imetawala kuliko Utu wa Mtanzania
 
Hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa posho serikalini na ugumu wa maisha ISIPOKUWA posho serikalini zinaweza kuleta nafuu ya ugumu wa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…