Mbowe na Kinana

Tatizo buku 7 za Lumumba, unashindwa kuelewa umeandika kitu gani. Jielimishe.
 

Ktk ziara za kinana kuna jambo gani anefanikiwa?alitoa tamko la mawaziri mizigo wafukuzwe kazi,hadi leo ni waziri gani kafukuzwa kazi?sana sana ndio wanazidi kujilimbikizia mali.
 
Mimi simwelewi Kinana. Anazunguka huku na huko akiwaeleza wananchi ubovu wa.watenda kazi wa serikali. Anatafuta nini hasa? Honestly simwelewi. Anyway, kwa kuwa analipwa na chama chake let him go go.
 
Kichwa cha habari umekiona. Pinga hoja. Ndio maana CCM inawashinda. Kama hamuamini kwa mwendo huu mtasikia kishindo 15.
Hoja iko wapi? Au unataka kutuambia mtazamo wako ndio hoja ya kujibu? Pole sana kwani sio kosa lako, ni mfumo wa Elimu ndio kikwazo kwani unazalisha wahitimu wasioweza kufikiri na kujenga hoja kama wewe!
 
mbona hujaandika pia kwamba baada ya huyo jamaa kushika madaraka tu hawa wanyama wetu wamepungua kwa kiasi kikubwa sana kwenye hifadhi zetu - tunaomba ufafanuzi.


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…