Magazeti yanayopata ruzuku toka Lumumba !! kweli njaa imekuwa kali sana ndugu zangu.Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujiuzuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujiuzuru.
Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.View attachment 2283487
kumbe luyatokea chadema A na B mim nilifikiri chadema itakufa kama alivyotabir dikteta uchwara hatimae akafa yeyewachaga watalia sana kutatokea chadema A na B
kwa namna mwamba anavowasumbua Lumumba, aisee itatakuwa sherehe ya siku 7 endapo ataamua kupumzika siasa.Wampige chini huyo mlamba asali.
Baada ya uchafuzi wa Oct 2020?Sasa hivi chadema ina wabunge wangapi?
How?Mbowe ameonyesha udhaifu mkubwa sana kipindi hichi..sichelei kusema kuwa walambisha asali wameshamlambisha asali.
Tusitegemee jipya tena kutoka kwake katika mapambano haya ya kumwondoa mkoloni mweusi.
Katiba mpya ni sasa.
#MaendeleoHayanaChama
Sana mkubwaMbowe ameonyesha udhaifu mkubwa sana kipindi hichi..sichelei kusema kuwa walambisha asali wameshamlambisha asali.
Tusitegemee jipya tena kutoka kwake katika mapambano haya ya kumwondoa mkoloni mweusi.
Katiba mpya ni sasa.
#MaendeleoHayanaChama
Upo sahihi kabisa amekiongoza chama katika wakati mgumu kupindukia wakati wa DICTATOR uchwara, amenusurika kwa mengi mno japo alifilisiwa lakini alisimama kiume, chadema imtengenezee sanamu.Umuhimu wa Mbowe kuiongoza CHADEMA umefikia mahali kuwa siyo wa lazima.
Apewe heshima yake kuu ya kuhimiri na kusimama imara wakati chama kilipopitia katika majaribu makubwa sana enzi za Magufuli, na hata wakati wa Kikwete., enzi za kina Zitto.
Uongozi wa Mbowe, wakati huu kwenye siasa za kupuliza za Samia, ni 'liability', kubwa. Inatakiwa apatikane kiongozi anayeelewa hizi mbinu mpya za kukidhoofisha CHADEMA na kupoteza mweekeo wake.
Vifungashio hivyo unavisoma weweGazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujiuzuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujiuzuru.
Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.View attachment 2283487
SahihiWatango'olewa mabeberu wa ulaya na America,ila Mwamba atakuwepo TU[emoji23][emoji23]
Corona inatishaWampige chini huyo mlamba asali.
Pale jiwe linapogeuka mchangaKweli kabisa
Sijui kama yananunuliwagaMAGAZETI YA KUFUNGIA CHAPATI HAYO NI KICHAA TU NDIO ANAWAZA HIVYO
PumbafUkweli hastahili tena na hii ni baada ya kulamba asali. Tuangalie mwenyekiti toka kanda nyingine.
Pipa na funiko mnasifianaKweli kabisa