CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
Moja ya kauli aliyokuwa anaitoa Mbowe kuhusu ujio wa Lowassa ni kuwa Lowassa atakuja na wanachama CHADEMA. Kiukweli Mbowe hakujua vizuri kuwa kwa levo ya CHADEMA sasa kisiasa ni chama chenye mtaji tayari kinachotakiwa ni kudhibiti mtaji huo usishuke.
Ujio wa Lowassa umefungua mlango kwa Dk. Slaa kuondoka na mtaji na faida ya wanachama waliokua nao kwasababu Mbowe alipiga vibaya hesabu zake au aliangalia maslahi binafsi.
Ujio wa Lowassa umefungua mlango kwa Dk. Slaa kuondoka na mtaji na faida ya wanachama waliokua nao kwasababu Mbowe alipiga vibaya hesabu zake au aliangalia maslahi binafsi.