VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni,Freeman A.Mbowe anatarajiwa kuwashukuru wapigakura wake Jumapili ya tarehe 28 mwezi na mwaka huu. Misa ya shukrani pamoja na sherehe ndogo itafanyika nyumbani kwao Machame,Kilimanjaro.
Taarifa za uhakika zinaonesha kuwa Mbowe atawashukuru wapiga kura wake wa Jimbo lake la Hai kwa kumchagua kwa mara ya tatu kuwa Mbunge wao.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Taarifa za uhakika zinaonesha kuwa Mbowe atawashukuru wapiga kura wake wa Jimbo lake la Hai kwa kumchagua kwa mara ya tatu kuwa Mbunge wao.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam