Mbowe kufungwa ni sahihi

Wewe ni mccm na hujawahi kuwa Chadema, achana na Chadema jadili ya chama chenu cha kishetani,koma kabisa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwanza sijui Kwa nini mahakama inasubiri nini!? Mbowe anatakiwa kuwa ndani sasa hivi. Na isipingue miaka saba. Aliunda genge kutaka kumuua Sabaya, halafu hatunzi ndoa yake yaani kutwa Na yule Mdada kamama [emoji3047] Tail. Halafu serikali inamvumilia tu. Pia amekua Mwenyekiti dikteta wa lichama lao kala ruzuku ya bilioni saba halafu hata kujenga ofisi ya maana chumba kimoja tu hakuna. Wanan’ang’ania kwenye jumba bovu pagala siku liwaangukie pale muanze kulaumu serikali. Yaani Mbowe mjinga sana AFUNGWE HARAKA MIAKA SABA.
Cc POVU NA MATUSI RUKSA SABABU NDIO SERA YA MACHADEMA KWA SASA. Hovyooo
 
Wafuasi wa chadema watakutukana kwa huu uzi hao ni genge la wahuni
 
1.Inavyoonyesha hukawahi kuwapo chama digitali
2.Utakuwa mwana sgang, muunga juhudi mkono, au miongoni mwa wasaliti wa chama pendwa Cha watanzania.
Siko popote kiongozi najtihadi kutizama nakijifunzatu. Niko smart Sana siwez kukubali kufungwa fikra nahivyo vyama vyakishamba chadema/ccm
 
Siko popote kiongozi najtihadi kutizama nakijifunzatu. Niko smart Sana siwez kukubali kufungwa fikra nahivyo vyama vyakishamba chadema/ccm
Chama cha kijani ni kile tarajiwa Mr slow au kipi ndugu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…